August 10 Announcements REA YAIBUKA NA USHINDI MAONESHO YA NANENANE MWAKA 2020 MKOANI SIMIYU Announcements, News, Events Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeibuka na ushindi wa pili katika kundi la Wakala wa Serikali katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.
August 9 Announcements MWENYEKITI WA BODI YA NISHATI VIJIJINI ATOA WITO KUHUSU ULINZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME VIJIJINI Announcements, News, Events Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo ametoa wito kwa viongozi na watendaji wa vijiji kulinda miundombinu ya usambazaji wa umeme katika vijiji vyao ili kuepusha hasara ambayo Serikali inapata kutokana na uharibifu wa miundombinu hiyo.
April 18 Announcements MAPAMBANO DHIDI YA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA COVID-19 VINAVYOSABABISHA HOMA YA MAPAFU Announcements, News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaunga mkono juhudi za Serikali za kuchukua tahadhari dhidi ya kuenea kwa maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID-19) inayosababishwa na virusi vya corona. Tunawaomba wadau wetu wote kushiriki pamoja katika mapambano haya.
January 28 Tenders EOI - CONSULTANCY SERVICES FOR DESIGN OF REA OFFICE BUILDING Announcements, Business The Rural Energy Agency invites eligible consulting firms to express interests in provision of services for conceptual design, detailed design, preparation of bidding documents and supervision for construction of REA Office Building at Block AC, Plot No. 94 – Medeli – Dodoma.
January 3 Tenders REA's Environmental and Social Procedural Manual (ESPM) Announcements, Business This REA's Environmental and Social Procedural Manual (ESPM) provides the procedures for integrating environmental and social considerations into the planning process and implementation of rural energy projects and programmes.
November 16 Tenders Updated Consultants Database for Tanzania Mini-Grid Renewable Energy Project The Rural Energy Agency is developing a Development Finance and Impact Investors Catalogue to assist small Renewable Energy generation and mini-grid projects to find suitable funding options for the development and execution of their projects.
October 30 Announcements Wakandarasi wa REA Wahimizwa Kuunganishia Wateja Umeme kwa Kutumia UMETA Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Nishati Vijijini, Mhandisi Styden Rwebangira amewaagiza Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya III Mzunguko wa I kuwaunganisha wananchi kwa kutumia kifaa cha Umeme Tayari (UMETA) ambacho ni mbadala wa kufanya wiring katika nyumba.
October 28 Announcements Waziri wa Nishati Aweka Ukomo wa Kuagiza Vifaa Vya Ujenzi wa Miradi ya Nishati Announcements, News Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Merdad Kalemani ameagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme (TANESCO) kuweka mpango ambao utawezesha vifaa vyote vinavyotumika katika ujenzi wa miundombinu ya kusambaza umeme vinatengenezwa hapa nchini.