October 19 News Zaidi ya Vitongoji 2,350 Mkoani Mtwara Vyafikishiwa Umeme News Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umefikisha umeme katika vitongoji 2,354 kati ya vitongoji 3,421 Mkoani Mtwara huku ukiendelea kutekeleza miradi ya kusambaza umeme katika vitongoji vilivyosalia mkoani humo.