October 25 News REA Yatoa Mafunzo ya Nishati Safi kwa Makundi Maalum News Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imepongezwa kwa kuwezesha na kuhamasisha upatikanaji wa nishati bora na salama kwa wananchi walioko maeneo ya vijijini na pembezoni mwa miji ili watanzania watumie nishati safi na salama nchini.