REA News ni chapisho la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) linaloonesha matokeo kwenye jamii yanayotokana na matumizi sahihi ya nishati bora katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
Wakala wa Nishati Vijijini unatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa zilizoandikwa kwenye magazeti ya Jambo Leo na Mwanahalisi ya Ijumaa Tarehe 15 Aprili 2016 pamoja na Gazeti la Habari Leo la Jumamosi Tarehe 16 Aprili 2016.
The Rural Energy Agency is now issuing the Revised General Procurement Notice for the purpose of informing Bidders, Suppliers, Service Providers and General Public on tender opportunities during Financial Year 2015/2016.
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (MB) ameandaa kikao cha siku tatu kwa ajili ya kukutana na wakandarasi wakubwa (Main Contractors) na wakandarasi wadogo (Sub-Contractors) wanaotekeleza miradi ya kusambaza umeme vijijini Awamu ya Pili tarehe 29 hadi 31 Machi, 2016.
The Norwegian Deputy Minister for Foreign Affairs, Ms. Tone Skogen visited the Tanzania Domestic Biogas Programme (TDBP) as part of her official visit to Tanzania.
The Rural Energy Agency invites sealed Tenders from eligible Suppliers for Supply and Installation of ICT Equipment for Improvement of Main Data Centre.
The Rural Energy Agency (REA) invites applications from dynamic, energetic and proactive Tanzanians with appropriate technical skills, competences and experience to fill the vacant positions for Training & Capacity Building Officer and Internal Auditor.
The Government of Tanzania, co-financed by the Government of Norway invites Pre-qualification applications to the Rural Electrification Densification Project – Phase I in six regions under the Rural Electrification Densification Programme (Mbeya, Iringa, Tanga, Pwani, Arusha and Mara).